“Kwa ajili ya kujengwa kwa Ufalme wa Mungu.”
“Kabla ya tarehe 27/09/2026”
“Weka nafasi yako leo”
Siku nne za mafunzo ya Ufalme. Asubuhi: darasa la wachungaji, wazee na viongozi. Jioni: semina ya uamsho kwa kila mtu. Kuingia ni bure.
Mtumishi mwenye uzoefu wa kimataifa. Atafundisha kuhusu Utawala wa Kristo na wito wa kanisa leo.
Nyuma ya kituo cha polisi, Kunduchi Mtongani. Kuna daladala za Mtongani; njia rahisi kutoka Tegeta na Bagamoyo Road.
Inachukua dakika moja. Ukimaliza, utatuma uthibitisho WhatsApp na kupakua mwaliko wako.
Jina, nchi, namba ya simu, kanisa na vipindi utakavyohudhuria. Usajili ni bure.
Fungua fomu ya usajili →Tumekuhifadhi kwenye orodha ya mahudhurio. Tafadhali thibitisha moja kwa moja kwa Mch. Daniel kupitia WhatsApp ili upate cheti (kwa darasa la asubuhi).